Manii ni Uchafu?

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,485
Kwa muda mrefu Nimekuwa nikisikia toka kwa wanawake kadhaa kuwa MANII/SH@H@W@ ni uchafu. Nimejaribu kutafuta uchafu wa manii sijauona. Lakini linalonishangaza zaidi ni kuwa mwanamke akisikia mwanaume wake ana mwanamke mwingine inakuwa ugomvi mkubwa. Swali iwapo manii ni uchafu kwanini wanaulinda uchafu huo kwa gharama Kubwa sana.

wanaMMU (Lizzy, Smile, KONGOSHO etc) naombeni msaada wenu.

Bazazi ni Bazazi
 
unapoomba msaada dont try to mention people wa kukupa msaada otherwise watu hawatotoa maoni yao kwa kuwa umetaja watu wakukupa msaada!!!!, kuna watu ambao si wana MMU au miongoni mwa hao uliowataja wanamaoni mazuri zaidi lakini watasindwa kukupa msaada,

kumbuka kuwa thread yako haitakuwa posted only in MMU bali itapatikana pia katika uwanja wa thread zote.
 
Manii sii najisi,mkojo najisi.unapozini ina maana huna ndoa ni uchafu mkubwa lakini ndani ya ndoa sii uchafu
 
Ofcourse yes ni uchafu! Zikiwa mwilini mwako ni safi ila zikishatoka ni uchafu..
Wewe unadhani hua wanachanganyika kwa sababu ya sperms??automaticaly mtu akiwa mpenzi/mume/mkeo lazma utakua na wivu nae hata kama ni kidogo,hicho ndo hua kinawachanganya..
In addition watu wanaogopa maradhi ndo maana hua wanachanganyikiwa wakisikia wenza wao wanawasaliti na sio kwa sababu ya huo uchafu!
 

:A S-eek:
 

Naunga mkono hoja,wakati mwingine usirudie hii kitu.
 
Hili swali lako ungeuliza miaka 10 iliyopita...lakini unauliza leo? Au mimi ndio nazeeka.......
 
Tunawasubiri uliowataja waje wakujibu.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Manii sii najisi,mkojo najisi.unapozini ina maana huna ndoa ni uchafu mkubwa lakini ndani ya ndoa sii uchafu

Ukipakaa hizo MAN ii usoni na kuingia nazo kwenye karamu ya sherehe yoyote, utapewa jibu kama ni usafi au uchafu.
 
kweli bazazi ni bazazi kweli kweli........
 
hebu wabeep uliowataja! mayb hawako hewani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…