Manii ni Uchafu?

we kwel bazaaz,:wacko:

Baby M! miye sio Bazaaz miye ni BAZAZI. Ulichomaanisha ni mwenye tabia mbaya. Sasa mtoto mzuri angalia nisijeKUMIMBA kirahisirahisi, shauri yako we endelea na kugeuza majina ya watu. Shauri Yako
 
Piga namba 0771231645,utampata mmoja kati ya hao unaohitaji msaada wao tu,
ikiita anza kujitambulisha kuwa wewe ni bazazi!
 
Sijaona mwanamke aliemjibu ipasavyo huyu mtu!
 
Watakuja muda gani kujibu hao wahusika.
 
inategemea mtu na mtu kuna wengine ukitaja kinyesi kama anakula ataacha.....kwa upande wa manii wanaume nao wametofautiana kuna wengine wanatoa zenye kiarufu ambacho cyo kizuri..
 

Nani kakwambia mbona kuna watu wanapenda kula ile mbaya au hujaona?Ingekuwa uchafu wangekula?
 
Hata mate/makohozi hutakiwi kutema hovyo.

Sidhani kwamba manii yanapelekwa pasipo husika au yana "temwa hovyo" labda kwa wale wafuasi wa kamerun!!!

i stand to be corrected.
 
Uchafu Definition: Kitu chochote ambacho hakipo mahala pake.., (kwahio hata simu au laptop ikiwa chooni ni uchafu, Chakula kikiwa chooni, kile chakula ndio uchafu na sio choo ndio chafu)

Hivyo basi hayo mambo yakiwa mahala pake panapostahili sio uchafu.., ila ukiyaweka mezani au kwenye mashuka au nguo nadhani jibu unalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…