kwa kawaida, manii huwa ni mepesi kama maji ya mchele, lakini yakichanganyikana na semen ndo ile ingine kama kamasi kamasi vinajichanganya mumo kwa mumo huoni kama malaini au la. mle kwenye mayai ya mwanamme hutoka maji malaini na sio zile kamasi. kwa kukuelewesha ni kwamba, manii hutengenezwa kwenye mayai ya mwanaume, mrija unakujaa unafika kuna kaeneo fulani hivi hako hutoa yale majimaji malaini ambayo mwanaume hata kama hajaejaculate hutoa maji malaini hapo kuna uteute huitwa semen huchanganyikana na sperm zinazotoka kwenye mpumbu zile semen hutangulia kwanza na ni nzito ili kutengeneza na kulainisha njia ili manii yapite kwa urahisi na mbegu hufuata, ndo maana ukikojoa mwanaume utajikuta mwanzoni unatoa nzito mwishoni yanatoka maji kama ya mchele malaini, zile sasa ndo mbegu halisi pamoja na kwamba zingine zilishatangulia kuchanganyikana na semen. hivyo si tatizo kwa uelewa wangu. pia, hutafafanua hayo maji ni ya aina gani, kama ni maji kama ya mchele au maji ya kung'ara ambayo ni kama ute unaotoka mwanaume akisimamisha kabla ya tendo...kama ndo hivyo basi, atakuwa na upungufu wa mbegu ndo maana zinatoka semen bila sperms na basi unatakiwa kumlisha vyakula vinavyoongeza sperms...vyakula vinavyoongeza sperms ni vile vyenye madini ya zinc kwa wingi kama wadudu wa baharini (hapa ndo utaona kwanini wazungu waling'ang'ania oysterbay, wkasababu chakula chenye zinc kuliko vyote ni oyster), pweza, samaki wa baharini, nyama nyekundu hata kama inapunguza kuishi, maharagwe n.k, ukimpa karanga hataongeza sperms bali ataongeza semen.