"Manipulated Man" kiatabu cha Ester Vilar. Je, umekisoma?

Kuna mahala kwenye hicho kitabu, Ester anatutonya kwamba, hata yale maumivu ya mwanamke wakati wa kujifungua sio makali kiviile wanavyotaka tuamini! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…