Manispaa ya bukoba nuksi kabisa

Manispaa ya bukoba nuksi kabisa

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
Walimu wapya wa shule za sekondari katika manispaa ya Bukoba wamekusanyika hapa kwa mkuu wa mkoa wa Kagera katika harakati za kudai fedha zao za kujikimu na nauli baada ya manispaa ya Bukoba kushindwa kuwalipa fedha hizo hadi sasa.
 
Back
Top Bottom