Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi.
Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari Kwa Kila Manispaa. Sasa umefika Wakati Kigamboni wakaanzisha Angalau Mnada hata wa Kila Jmosi ya mwisho wa mwezi watu wakawa wanachoma nyama na kusuuza mioyo.
Mnada waeza kuwa Kibada, Mjimwema au hata Toangoma kama ule ulioanzishwa kule Madale kulangwa.
Natoa wazo