Manispaa ya Kinondoni, wkwni kamera Bagamoyo road au sungusungu

Manispaa ya Kinondoni, wkwni kamera Bagamoyo road au sungusungu

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Bagamoyo road kuanzia pale Bamaga mpaka Mwenge naona kumezuka wimbi la viroba vya taka vyenye kutoa harufu ya uozo na uvundo kwa wageni wa heshima wanaotumia njia hiyo kuelekea Bagamoyo na Bunju au Mbezi.

Huu mchezo mtendaji anapaswa achukue hatua kwa kuwaita vikundi vyake vya usafi washirikiane na afisa husika wa manjspaa aliyepangiwa kata hiyo kutoka kwa mkuu wa idara ya mazingira wafatilie nani anatupa taka sababu maeneo hayo wala hayana ubovu wa miundombinu kusema kwamba watu wanawapa mateja kazi ya kuwazolea taka majumban.

Inaharibu taswira, nimepita hapo nikiwa nakula baga nusura nitapike kwa ule uvundo.

20240504_141757.jpg
 
Back
Top Bottom