Manispaa ya shinyanga mjin kwanini hamtaki kuwamalizia walimu wapya stahiki zao..?

Manispaa ya shinyanga mjin kwanini hamtaki kuwamalizia walimu wapya stahiki zao..?

psy

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
40
Reaction score
4
Toka mlivowapa pesa ya kujikim ya cku 4,cku ya tar 2/4 mpaka leo kimya,nauli zao hamjawapa na pesa yao ya cku 3...mnategemea waish vp hawa watumish wetu uku ugenin..?kuwen wastaarabu
 
Back
Top Bottom