mnyevushaji
Member
- Oct 4, 2011
- 24
- 1
Wadau hii kweli ni haki?tangu waalimu waajiriwe february hadi leo hawajalipwa pesa za nauli,mizigo na wategemezi wao huku wakipigwa danadana wasijue nn cha kufanya|
ama kweli inatia uchungu by mwanaharakati