upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Katika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi.
Soma: UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, Manjale Magambo amesema kuwa Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha Vijana wanapata fursa za kimaendeleo kupitia kazi hiyo.