Pumbavu Sana , Kwa akili za kipumbavu kama za huyu fala na wenzake hii nchi itaendelea kudumaaKatika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi.
Soma: UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, Manjale Magambo amesema kuwa Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha Vijana wanapata fursa za kimaendeleo kupitia kazi hiyo.
AAche uenyekiti wa UVCCM akawe bodaboda tuone sasaKatika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi.
Soma: UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, Manjale Magambo amesema kuwa Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha Vijana wanapata fursa za kimaendeleo kupitia kazi hiyo.
Mimi nina mtazamo tofauti kuhusu bodaboda ,kweli sio ajira kiivyo kwa mtazamo wa ki inchi kwa kuwa vijana wenye nguvu wanakuwa kwenye secta hiyo kwa ajili ya kujipatia kipato.Mimi mtazamo wangu ,ni ku upgrade boda boda kwenye masuala ya postage/delivery ya vitu wakaungana vijana na kuanzisha kampuni ya kusafirisha vitu na sio watu ili kuleta pia ushindani kwa shirika la posta,kuanzisha viwanda vya uzalishaji au utengenezaji wa pikipiki hapa tanzania kuwapa ajira watanzania wengi zaidi badala ya kuzinunua kutoka china.Kuanzaisha vituo vya kuegesha pikipiki na mtu anakodisha kwa siku na kurudisha (zinawekewa GPS) ni mawazo yangu tuChadema na Lema wanadhani wapo Ulaya...
Boda boda wana issues zao lakini wana affect maisha ya watu wengi sana positively..
Bila kucheza siasa na makundi ya kijamii wataona ugumu wa siasa kuliko miaka yao yote toka waanzishwe 1993
Bodaboda jeneza linalotembeaKatika ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Mkoa wa Geita, imeeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inathamini kazi za Vijana wa Bodaboda kama chanzo cha kipato na maendeleo ya uchumi wa nchi.