Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ha! Ha! Ha! Haya bhana !Mambo ya Yanga waachie wenyewe. Hivi Manji alikuwa uwanjani?
Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .
Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !
Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?
Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
Namba 12 .Yaani nyie mbumbumbu hamna mpya mbona mnaumia sana kuliko hao yanga wenyewe manji alikuwa anacheza namba ngapi
Cha mchangani
Aliyemleta ni nani ? Iko hivi mkuu Manji kaambiwa achague kimoja aachie uenyekiti akabidhiwe timu kama mwekezaji , ili uongozi umfuatilie anachofanya , sasa haiwezekani awe mwekezaji na tena awe mwenyekiti .Mmeshaanza tayari, sasa si mwacheni tu ajiondokee. Ina maana Yanga haina watu wengine? Kumbuka Yanga ni brand kubwa hivyo mnapaswa kuanza kuishi kibiashara zaidi mambo ya charity achana nayo
Peleka huko umbeya wako. Matokeo ya uwanjani yameamua mshindi wa hiyo ngao ya jamii. Acha kutufitisha tena ukome na ulegee kabisa.Hii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .
Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !
Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?
Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
Sasa mimi kosa langu nini ?Peleka huko umbeya wako. Matokeo ya uwanjani yameamua mshindi wa hiyo ngao ya jamii. Acha kutufitisha tena ukome na ulegee kabisa.
Kwani huyu mzee ndio Niyonzima ?
muombeni msamahaa wana yanga mzee akilimali lasivo mtachezea kila kukicha
Majungu.comHii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .
Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !
Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?
Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
KWELII M N MWANAYANGA DAMU BILA HAWAAAWAZEE TUTArAJIE MIMBA YA MAPACHA WATATUU
muombeni msamahaa wana yanga mzee akilimali lasivo mtachezea kila kukicha
manji kafunga bao ngapiHii ni baada ya juhudi zake za kuipata bure timu hiyo kugonga ukuta .
Wanayanga wanashangazwa na mtu ambaye ni kiongozi wa yanga ambaye ana uwezo wa kuitafutia yanga udhamini mkubwa lakini eti haiwezekani mpaka apewe umiliki wa timu ! Yaani Manji mwenyekiti hawezi ila Manji mfanyabiashara anaweza ! Maajabu !
Hujuma zimeanza kwenye ngao ya hisani , timu inaongoza kwa dk 90 inakuwaje inakosa ngao ya jamii ?
Poleni wana Yanga , Njaa mbaya sana .
Angalia kisa cha penati ile ya dk ya 90manji kafunga bao ngapi