Manji aanza kuihujumu Yanga

Wa kimataifa wameshindwa kutafuta Sponsor wa Kimataifa.
 
Hahahah ushaanza ongea pumba. Unamihemko, tulia kdg.
 
***
FOOTBALL=MONEY.
MONEY = CONFIDENCY
HUU NDIO UHALISIA.
AKILIMAVI NA WANAFIKI MSIOITAKIA YANGA MEMA /
KAZI KWENU.
 
Mzee Akilimali kawashika pabaya,hivi mzee Abas Mzimba yupo wapi?...hawa wawili huwa wanatengeneza kombinenga ya hatari,baadaye wanazunguka wanaenda kwa Manji na kuvuta mpunga kinyemela...
 
Mkuu mbona unalialia. Unamjua Yusuf kweli wewe?
Jifunze hapa
Usichokijua kuhusu Yusuf Manji

 

Hujuma kubwa ya Manji kwa Yanga nin pale anapodai kuwa kampuni anayomiliki inaidai Yanga shilingi zaidi ya bilioni 5. Itaingiaje akilini nyeye mwenyekiti ana-negotiate na yeye mwenyewe yaani kampuni yake na yeye mwenyewe ndiye anayeweka kumbukumbu ya deni kwenye vitabu vya Yanga na vya mkopeshaji yaani kampuni yake? Halafu bahati mbaya zaidi ni kuwa wanachama wa Yanga wanaamini kuwa Manji anatoa misaada kumbe ni mikopo ambayo haina uthibiti wowote kwa upande wa Yanga
 
Wanachama wa Yanga hamna kitu .
 
Kichwa cha habari na yaliyomo tofauti kabisa.... Elimu bure sasa hivi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 


Sasa huu uzi unabidi ufungwe rasmi, nadhani kila mtu anajua kuwa juzi tu jamaa ameunda jeshi lake na kuwaita akina Bin Khleb kundini.
 
Yanga tumerudi na tupo sawa kabisa,Haya umeanza tena majungu yenu na wa mchangani watabaki kuwa wamchangani tu.
 


Sasa huu uzi unabidi ufungwe rasmi, nadhani kila mtu anajua kuwa juzi tu jamaa ameunda jeshi lake na kuwaita akina Bin Khleb kundini.
Njama zake za kuipata yanga kwa Bwerere zimeisha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…