Manji aanza kuihujumu Yanga

Yanga tumerudi na tupo sawa kabisa,Haya umeanza tena majungu yenu na wa mchangani watabaki kuwa wamchangani tu.
Je timu yenu ina mipango yoyote ya kujitegemea au ndio mnamtegemea Manji aendelee kulipa mishahara hata ya viongozi wenu ?
 
Huyo mtu unayesema kuwa Manji anaihujumu yanga hebu sikia maoni yake kuhusu klabu hiyo ambayo alitamka kwenye mkutano uliopita hapo Diamond Jubilee kuwa:-
  • 1. Dhamira yake haitamruhusu kuinunua Klabu kwani thamani ya Yanga ni zaidi ya fedha na ndiyo iliyoanzisha
    Tanganyika na baadaye Tanzania, kwani waasisi wa taifa hili walikuwa ndani ya Yanga ambapo waliikomboa si
    Tanzania tu bali Afrika;
    2. Aliwakumbusha wanachama wa klabu hiyo kuwa Jengo la Klabu ya Yanga huitwa Ikulu na watu wanaofanya kazi
    Ikulu kwenyewe (State House);
    3. Mtaa wa Twiga ambao ndiko makao makuu ya Klabu ni Nembo ya Taifa;
    4. Mwenge ulioko kwenye nembo ya Klabu ndiyo ambao hukimbizwa nchini kila mwaka;
    5. Rangi za klabu hiyo ndiyo rangi za taifa;
    Alimalizia kwa kusema kuwa kama wanachama watamuuzia yeye [au mtu mwingine], itakuwa kama ameuziwa Taifa hili, jambo ambalo ni ukoloni.

HUYU NDIYE MTU UNAYESEMA KUWA ANAIHUJUMU YANGA
 
Sasa kwanini amekengeuka ?
 
Sasa kwanini amekengeuka ?
Hivi wewe uwe unajitolea kwenye taasisi ambayo haina uwezo wa kujiendesha kiuchumi, unapotumia uwezo wako,akili yako na ubunifu wako ili mambo yaende halafu wakatokea vipapasi ambao hawachangii chochote kile kwenye taasisi hiyo na kuanza kukejeli yale unayoyafanya na hakuna anayekulinda kati ya wadau ambao wanahusika moja kwa moja na taasisi hiyo. UTAJISIKIAJE????
 
Ningekuwa mimi ningejisikia vibaya sana , ningejiondokea zangu na kuwaachia timu yao , nisingejaribu kuwarubuni ili wanikodishe .
 
Ningekuwa mimi ningejisikia vibaya sana , ningejiondokea zangu na kuwaachia timu yao , nisingejaribu kuwarubuni ili wanikodishe .
Haya yote yalitokea baada ya kuomba ridhaa ya wanayanga wamkodishe. Au mlitaka aombe kuuziwa hisa 51%?
 
Njama zake za kuipata yanga kwa Bwerere zimeisha ?

Kama ataendelea kununua wachezaji wa Klabu kwa peaa zake.....

Kama ataendelea kugharamia kambi za Klabu....

Kama ataendelea kugharamia posho za wachezaji.....

Kama analipa mishahara wachezaji wote, na kupunguza kesi za wachezaji kucheleweshewa mishahara yao....

Kama ataendelea kuhakikisha tunabeba NDOO za Ligi na makombe mengine kama la Azam Federalation Cup [HASHTAG]#Shirikisho[/HASHTAG].....

Kama tutaendelea kugawa dozi kwa simba wa mchangani kama tulivyofanya msimu uliopita.....

Acha aichukue tu bureeeeeeeee
 
KWELII M N MWANAYANGA DAMU BILA HAWAAAWAZEE TUTArAJIE MIMBA YA MAPACHA WATATUU

KWAWENYE KUMBUKUMBUU KICHAPO CHA TANO KILIANZIA KWAHUYU MZEE WALIANZA MALUMBANO WEE HAPO KATI MWISHO NZEEENZEELE

ASBH NJEMA
aiseee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…