Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Manji awaombe wanachama na mashabiki wamsupport kwa kiwango fulani yaani kwa kuprint Tshirt na kuziuza kwa wanachama na mashabiki.
Kwa jinsi wanachama na mashabiki wanavyomkubali akisema wamsupport kwa nia ya kuongeza kipato cha club na hakika nchi zima Tshirt million 1 zitaisha mapema sana.
Ø Atafute kampuni iprint Tshirt 1,000,000 @ 10,000 =10,000,000,0000 na kuziuza kwa wanachama na mashabiki kwa @ 15,000 = 15,000,000,000 faida ni 5,000,000,000 inatosha kuendesha timu bila tatizo lolote.
Ø Atenge muda hata wa wiki moja kuzungukia kanda zote na kuhamasisha wanachama wapya akiwa na hizo Tshirt yeye mwenyewe na hakika Tshirt hizo hazitatosha.
Lengo ni kuongeza kipato cha timu kwa jinsi Manji wanavyomkubali wanachama na wapenzi wa Yanga nchi nzima timu itapata faida kubwa sana. Manji anakubalika sana Jangwani hivyo atumie ushawishi wake kuingozea timu fedha na yeye kumpunguzia mzigo. Najua uwezo anao na anaipenda Yanga sana, ni zamu ya wanachama na mashabiki kumsupport kwa kiwango fulani na yeye ajisikie kuwa yupo pamoja na mashabiki.
Ni imani yangu kuwa Manji ataendelea kuisaidia Yanga hivyo kuongeza ushindani kwenye ligi yetu na ikizingatiwa kuwa Msimbazi kuna MO basi ligi yetu itakuwa bora zaida kuliko wakati wowote. Matumizi ya fedha/faida mimi sijui uongozi watajua cha kufanya.
Nawasilisha.