Manji aidai Kagoda bil 18.7

Manji aidai Kagoda bil 18.7

fangfangjt

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
571
Reaction score
139
Manji amefungua kesi dhidi ya Kagoda akiidai sh 18.7.

Manji aliyedai kuidhamini kampuni tata ya Kagoda kurejesha serikalini bil 40 iliyoibiwa kutoka akaunti ya EPA, sasa anaishitaki Kagoda kwa kutomrejeshea fedha zake ..

Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Source: MwanaHALISI
 
hii serikali haipo makini, hawa ndio watu wakukamata sio wamachinga na wanasiasa wa CHADEMA
 
Back
Top Bottom