fangfangjt JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 571 Reaction score 139 Mar 2, 2011 #1 Manji amefungua kesi dhidi ya Kagoda akiidai sh 18.7. Manji aliyedai kuidhamini kampuni tata ya Kagoda kurejesha serikalini bil 40 iliyoibiwa kutoka akaunti ya EPA, sasa anaishitaki Kagoda kwa kutomrejeshea fedha zake .. Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Source: MwanaHALISI
Manji amefungua kesi dhidi ya Kagoda akiidai sh 18.7. Manji aliyedai kuidhamini kampuni tata ya Kagoda kurejesha serikalini bil 40 iliyoibiwa kutoka akaunti ya EPA, sasa anaishitaki Kagoda kwa kutomrejeshea fedha zake .. Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Source: MwanaHALISI
nsimba JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 782 Reaction score 55 Mar 2, 2011 #2 mchezo wa kuigiza!
fangfangjt JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 571 Reaction score 139 Mar 2, 2011 Thread starter #3 hii serikali haipo makini, hawa ndio watu wakukamata sio wamachinga na wanasiasa wa CHADEMA
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,741 Mar 2, 2011 #4 Anataka kujisafisha....