MANJI anajenga "human shield"?


Ingawaje baadae 'shujaa' huyu ndiye aliyekuja kuwa kinara wa kiupinga mabadiliko ndani ya yanga na hasa uanzishwaji wa kampuni na hivi tunavyoongea yeye ni miongoni mwa watu wanaolamba miguu ya Manji.
 
Hilo mbona liko wazi! Ila wapenzi wa Yanga hasa wale wazee hawataki kulielewa hilo

Wale wazee kinacho wasumbua ni njaa, kumbuka toka akina Mzimba walikuwa hawataki Yanga kampuni, lakini Manji alipowahakikishia ulaji bila kutegemea matao ya milangoni, siwasikii tena. Njaa za wazee wa Yanga zinawafanya wasiwaze nje ya box.
 
wabongo bwana kila siku ni maneno tu, Manji amefanya mangapi mabaya na pesa ngapi ameiba?nini kimefanyika? Hawa jamaa wataendelea kula hela ya watanzania na wataongeza dharau kwa watanzania. Siku zote mhindi na mwarabu anamuona mwafrica ni **** na ni mwoga. Ukweli ni kwamba hela wameshaiba nyingi sana na mtabaki mnapigia kelele mtandaoni. Mfanyabiashara mzawa ni Reginald Mengi tena na yeye ni kibaraka wa wadosi, waliobaki wote ni wageni.
 



kiukweli Tunatakiwa ku Act haraka. katka Quran tukufu kuna mistari inasema...."ukiona kitu kinakuudhi, kiondoe kwa mkono wako, ukishindwa hilo kemea kwa mdomo wako, na hilo likishindwa basi NUNA uonyeshe umekeleka na hilo jambo"
Tunahiotaji kuanza na mawe kiukweli..ngoja leo akipita hapa mitaa yetu nitaanza kuonyesha mfano.
 
Manji kama walivyo wahindi wenzake wooote hapa TANZANIA wamefanya hii nchi kama tambala kwa kutumia njaa ya watu wetu na umbumbumbu wetu, lakini nawambia siku inakuja ambayo watalia na kusaga meno na hilo halina shaka hata kidg.
Amen.
 
Manji kandoka vipi umesaidia timu kujipangaje ***** mnakela sana nyie ada za uanachama hamtoi mnataka timu ijiendeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…