Manji arejea Jangwani, alipa mishahara!!

Mzee Akilimali nae ataibuka very soon!
 
Bashite njoo umkamate uyu jamaa kaonekana uku jangwani
 
Tatizo rangi
historia inasema yanga Ni timu ya wapigania Uhuru imeanzishwa kabla Hawa mafisadi ccm hawajazaliwa,ndomana kunakipindi simba huwa wanazipenda jezi za yanga kwenye mikutano ya chama ikifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…