Manji arejea Jangwani, alipa mishahara!!

Jamaa analipa mishahara kwa keshi mkononi? Yanga mna hali ngumu sana
 
mzee akilimali ana uswahili mwingi sana kiufupi hana cha kuisaidia Yanga zaidi ya majungu ili aendelee kuishi kupitia Yanga. karibu manji ila ni vizuri klabu yetu ikajitengenezea utaratibu wa kujiendesha yenyewe kwa vyanzo vya mapato vilivyo wazi kuliko kumtegemea mtu mmoja ni hatari sana na hawa watu wanaojiita wazee wa Yanga huwa wanaisaidia nini Yanga hasa? kwa nini huu utaratibu wa ajabu namna hii usiondolewe? au ndo alama za taifa ili ziendelee kuliwa na watu wachahce?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…