Manji kuinunua Nakumatt

Angenunua gsmbsht lumumba mngekaa kimyaa

Ova
 
Unakoment huku unajamberjamber Kodi Kodi. Kodi my foot
Mkuu,

Mbona unaandika kishabiki sana mpaka unavyoandika havimeki sense!!

TRA wamesema wanamdai kodi.Wewe unapoandika "kodi my foot" unamaanisha nini?
 
Anahela au anataka.kuketa udalali tena wa mali kauli kama kawaida yake?
 
tunasubilia ainunue mbowe tuivunje kama Bilz
@@@ zenu nendeni mkawasaidie kuwatafutia siko wakulima wa mbaazi huko syo mnakaa na
Na mitumbo YENU mikubwa na misuti mnasubiriia hela za kuletewa tu......tafuteni pesaaa

Ova
 
Badala ya viwanda vya kufikirika ni afadhali wajasiria mali kama hawa ambao ni tegemeo la ajira .
 
Ha ha roho mbaya sio nzuri wewe babu kipara na mzee asiyekua na marinder
 
asije akawa anainvest kwa Kuikomoa serikali .. Atambue tu Serikali haikomoleki .

Mbaya zaidi tunapoizungumzia serikali na yeyr binafsi ni sehemu ya serikali sasa kama anadhani anakomoa basi anajikomoa mwenyewe .

Mambo matatu ya kuogofya ni .
1. Moto
2. Maji
3. Serikali.
 
@@@ zenu nendeni mkawasaidie kuwatafutia siko wakulima wa mbaazi huko syo mnakaa na
Na mitumbo YENU mikubwa na misuti mnasubiriia hela za kuletewa tu......tafuteni pesaaa

Ova
SIKO ndio vitu gani?
 
Zaidi ya MKWEPA KODI vile vile ni FisadiKuu na mtoa rushwa alifikiri Magufuli ananunulikaView attachment 616113
Chadema jumba la mafisadi lazima apate wa kutetea
Ha ha Manji kiboko cha Magufuli pamoja na kumuweka ndani ili amvuruge kisaikolijia,kumvunjia hesima anamzaba za uso the guy he has money kumuweka Manji ndani wahindi wamekataa kununua mbaazi wakulima wetu tabu wamezipata wanalia na bei Magu anamfurahisha bashite in the expence of our Wakulima kweli
 
EEh Mungu tuepushe na kikombe hiki cha hawa washamba mambumbu can you even real think mtu atawaza wazo la kishamba namna hii hivi nyie watawala mbona hamjifunzi tuu kwa nini usifurahie kwamba vijana mulioshindwa kuwapa kazi watapata kazi why ar you bitter you even think evil
 
Hivi mtu anayevuta unga yeye mwenyewe hauzi wala hampi mwingine,halafu huyo mtu ni tajiri ameajiri watu wako hana kosa lolote kwanini umsumbue? Ushamba ni zigo zito sana.
sheria inamsumbua hakuna mtu anayemsumbua
 
Wawekeze wao tu basi,tuone

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…