nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini
kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa wingi kwenda kumpokea mwenyekiti akirudi ofisini kwake leo 15 january 2019
Sidhani naona ni porojo tu,then huwa najiuliza kwanini wamseemee wakati yeye mwenyewe yupo?
MO nae ni nani hapo Mikiani?Vyura mnateseka sana! Manji has turned a god of vyuras[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmhVyura mnateseka sana! Manji has turned a god of vyuras[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
yupo congo kazima na simu,hapatikani hewani.mtumieni hela kwa airtel money
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini
kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa wingi kwenda kumpokea mwenyekiti akirudi ofisini kwake leo 15 january 2019
anahitajika haraka arudi alipe milioni 700 za mshahara na malimbikizo ya pesa za usajili,miezi minne hawajalipwa mshahara,asidhani anapendwa sana inapendwa hela yake tuHii habari mbona inajirudia rudia sana??!!! Kwani huko aliko amezuiwa kuisaidia Yanga???!!! Tuna mawazo ya kimasikini sana!!!