Mkuu Azam FC na Yanga na Simba ni vitu viwili tofauti. Azam ni ya mtu na hizi Simba na Yanga ni za wanachama.
hiyo najua and to me nilitaka hizi timu mbili yaani Yanga na Simba ziwe ja mfumo wa kiuendeshaji kama wa timu ya mtu binafsi.yaani isiwe kama ilivyo sasa. hivi unaona hivi vilabi kila mtu anajisemea na kutenda anavyijiskia watu hawafikirii in a consructive way si kama ilivyo sasa kama msemaji tu kwenye vijiwe vya kahawa inatosha kumpa kura bila hata kuwa na developmental skills sijawah kuona. mkuu mpira unavitu vingi sana.
achilia mbali technical skills ambazo waweza kusema hizi zinahtaj competent and qualified personnel lakin hata vitu vingine kama uwezo wa tiu kutengeneza mapato yake una matter sana. si kila siku kutegemea wafadhili ama sadaka za watu. wakati wa kukusanya sadaka umepitwa na wakati unatakiwa sasa hivi timu itengeneza vyanzo vya mapato yake halali. there are a number of sport commidities which people can buy.
haya mpira sasa hivi umekuwa ni commercial product but still kwa undazi wa watu wachache bado mpira wetu mebaki kuwa kwajili ya entatainment tu. fikiria hata hawa tff wanafanya nini kwa ajili ya kucommercialize soka letu? to me ni bora hizi timu zikamilikiwa na wafanyabiashara ambao can think of how to get money out of it.
eti tuna timu kubwa kama hizi halafu hata kiwanda tu cha kutengeneza kiatu cha mchezo "njumu" hatuna??? kwa muda ambao yanga imeasisiwa ilishindwa kweli kuwa nayo? ama hata kuwa na kiwanja tu cha michezo? yaaani mkuu napata hasira sana.....................na hii makitu. na ukitaka kujua haya mavilabu ni ya kishenzi waandikie well written paper ukionyesha wafanye nini utachoka mkuu tena utatamani hata kulia manake waweza kuambulia kukaribishwa kahawa na kashata kisha paper ikatupwa kapuni chezea mzee Akilimali wewe.
Unaenda makao makuu ya klabu kama Yanga unakuta watu wanacheza bao humo ndani, unajiuliza hivi kwanin basi na hili bao liwe ni commodity ambayo klabu inauza? leo hii tz kuna washabiki wa timu zanje kama mimi ni MAN U nashoboka hata kunua jezi za manu u halfu unakuta uzi ni mkali ie mbaya lakin njoo nunua hizi za kwetu uzi siku moja unanyofoka makamba unashindwa kujua hivi ni uchizi huu ama uenda wazimu?
maendeleo yenyewe kisoka ndo mabaya zaid yaani siku zote nipatapo uchungu wa soka huwa namkumbuka sana SYLLER SAID MZIRAY R.I.P. jamani wahezaji sports biomechanics poor, perception reaction time poor endurance ndo hovyo, bado psychomotor coordination ndo lol waweza kulia. ukivijua hivi vitu angalia movement ya mchezaji kama anelka uwanjani hana sappleness yeye mwili huenda kama mshale na in fraction of a sec but wakwetu hadi tu ahamishe hatua sappless icomply na activity unakuta PRT ni zero. nisisem sana manake sichezi mimi.