KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
Hakuna kinachoshindikana na manji kaja yanga kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuifanya yanga ijitegemee na sio kumtegemea yeye kwa kuwa yeye ni binadamu lolote linaweza kutokea akawa hayupo,na amekuwa akisema wazi kwamba hapendi kuiona yanga ikitoweka atakapotoweka yeye au mfadhili yeyote,anataka kusimamia mabadiliko makubwa ya katiba ya yanga ambayo aliowaamini na kuwapigia debe waingie yanga ili wasaidie kuleta mapinduzi yanga wamemuangusha hasa imani maugila wa madegaMkuu Azam FC na Yanga na Simba ni vitu viwili tofauti. Azam ni ya mtu na hizi Simba na Yanga ni za wanachama.
Hakuna kinachoshindikana na manji kaja yanga kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuifanya yanga ijitegemee na sio kumtegemea yeye kwa kuwa yeye ni binadamu lolote linaweza kutokea akawa hayupo,na amekuwa akisema wazi kwamba hapendi kuiona yanga ikitoweka atakapotoweka yeye au mfadhili yeyote,anataka kusimamia mabadiliko makubwa ya katiba ya yanga ambayo aliowaamini na kuwapigia debe waingie yanga ili wasaidie kuleta mapinduzi yanga wamemuangusha hasa imani maugila wa madega
Umenikumbusha usemi wa "NYANI HAONI KUNDULE" . Inaonekana jamaa hawajui kwamba mwenyekiti wao ni mtanzania mwenye asili ya KISOMALI
ok manji be like abramovic...
Mkuu nngu007 mbona Abromovich yeye anaimiliki Chelsea na si kiongozi ila Manji si mmiliki bali mwanachama sawa na mzee Mzimba ama Akilimali na amegombea na kufanikiwa kuwa Mwenyekiti. Kuna tofauti kubwa. Au Manji ndio anataka kuinunua Yanga na kuimiliki kama Chelsea ama TP Mazembe?