mw/kiti wa Yanga Yusufu manji ameweka wazi TFF inavyoihujumu Yanga na amemwambia kama Tff wanasimamia tiketi za mechi za kimataifa ijiandae na kughalamikia kambi usafiri wa nje na ndani.
swali kama Yanga inataka kuweka kambi marekani TFF ya Malinzi inauwezo wa kulupa?
Yaonekana viongozi wa TFF wanajiona ni viongozi wa Yanga. Klabu inayokiuka taratibu zilizowekwa inachukuliwa hatua, sasa kama TFF (Yanga B) ikicheza na pakawa na fujo uwanjani nani ataadhibiwa na CAF?
Kama ulienda kungalia mechi bure na wewe sio yanga au mtanzania anaependa nchi kwanza heri unyamaze tuu kwa sababu inaonekana una chuki kwa yanga na sisi tutakusamehe.