Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Mbona kaeleweka?Embu tafuta sehemu utulie uandike upya...
Lakini ujumbe si umeuelewa??Nimeshindwa kabisa kuelewa hicho kichwa cha habari.
Vv
Umesema ukweli mkuu ila naona kwa Yanga wamekwaa kisiki kwa hilo dau lao na kuna nafasi wakaongezaUna hoja nzuri ila naona kama una haraka,,wale wameshahonga huko serikalin ndio maana wamepewa fasta ila akina mo na manji hawatak kuhonga na tutazid kulizwa sana
Ungekuwa na nia ya kuelewa ungeelewaNimeshindwa kabisa kuelewa hicho kichwa cha habari.
Vv
Moja ya gazeti la leo Mo ameidai simba 1.4 bil kwa kutoshirikishwa kwenye dealNi maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia faida ya udhamini, mil 888 kwa mwaka ni ndogo sana Mo anauwezo wa kuwapa
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia faida ya udhamini, mil 888 kwa mwaka ni ndogo sana Mo anauwezo wa kuwapa
Serikali ya ccm haifwaaaiiiiWakina manji na dewji hawakutaka kudhamini bali walitaka kuzimiliki timu au kuzinunua, hawa sport pesa wanatoa pesa tu kwa ajili ya kujitangaza tu, hawaingilii masuala ya ndani ya timu, hapo kuna tofauti kubwa sana mkuu
Kiukweli viongozi wa simba waliopo madarakani wamefanya umafiaMoo anadai pesa zake sasa maana huu mliofanya ni usnich full
Umesoma amesharekebisha.....Mbona kaeleweka?
SawaUmesoma amesharekebisha.....