OsamaBinLaden
JF-Expert Member
- May 2, 2009
- 706
- 3
jengo ni la clouds wenyewe na wala manji hausiki, i was involved in the early stages when joseph kusaga (ceo) acquired that property! tusifikiri kila mzungu ni padri kama kule kwetu kijijini!
Jengo ni la Clouds wenyewe na wala Manji hausiki, I was involved in the early stages when Joseph Kusaga (CEO) acquired that property! Tusifikiri kila mzungu ni padri kama kule kwetu kijijini!
Karibu jamvini Mr Gerald
Mkuu umejoin jf for this thread specifically nini? naona join date jun 2009...aminia..kuna kitu!!
Erooo Expert broker huyu Joseph Kusaga alinunua kwa nani?
Mkuu umejoin jf for this thread specifically nini? naona join date jun 2009...aminia..kuna kitu!!
Ethics zangu za kazi haziniruhusu ku-disclose info za mteja wangu! Wewe former owner unamtaka wa nini? Au ulikuwa unamdai? Mfuate Kusaga atakusaidia.
Nina thread nyingi tu mkuu, na sijajoin specifically for this thread, jaribu kuangalia thread zangu! Mimi ni broker wa real estate, so kama ishu naijua nachangia esp in my field, ama kuna ubaya mkuu????????????
ExpertBroker unatuaribia shgghuli sisi raha yetu ni kuhusisha kila kitu na Manji au Rostam.
Huyu broker is so amazing eeh! join date ni Monday Jun 2009 that means yesterday na inaonesha amekwisha tuma post 16! mkali eeh karibu mzee uendelee kumtetea Manji lakni ujue tu no matter how deep you bury the truth it will always manage to surface![/QUOTE]
Simtetei mkuu, naomba unielewe! Nilijitahidi kumjibu mhusika aliyetaka kujua ukweli wa mmiliki jengo la Clouds!
Naomba nikusaidie kitu kimoja Mheshimiwa sana KITOTO ambaye nafikiri mawazo yako ni ya KIKUBWA., Just simple nenda wizara ya ardhi kafanye search ya real owner of that plot. Unless kama JF imegeuka jamvi la kila mtu kujisikia tu anavyoweza kupindisha ukweli.
Nimtetee manji kwa lipi na ngozi yangu nyeusi hii na umasikini wangu wote? Ni bora hata ningekuwa mpenzi wa Young Sports Club kwamba ntafaidi japo ubwabwa!
Sikujua mtazamo wa watu wengi katika hili! had I knew that the issue is Manji or Rostam I wouldn't even have contributed anything! It is because I know the story behind the acquisition of the plot in question ndo maan nikachangia!