Manji njoo uokoe jahazi ,leo hii simba inaifanyia umafia yanga ?,jeuri za yanga zote kwishney

MO alivyotangazaga kujitoa ilikuwa ishu. Walienda kumlamba miguu ili arejee
 
Miaka mitano ya Manji wameshindwa kulipa goli tano, kuna rekodi nyingine inawanyemelea hawa, mpaka wayauza jengo wapate hela ya kununua wachezaji.
Wakati mbumbumbu FC mkihesabu idadi ya magoli, sisi twahesabu mataji
 
Yanga ni mali ya chama tawala kupitia mzee Akili Mali.Simba kazi mnayo.
 

Huyu aliyebebwa ndio wa kulaumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…