Manji rasmi arudi Jangwani mamia ya wanachama wampokea

Manji kila siku anawatingisha tu.. Yanga wote wamekua kama mbulula
 
Nendeni mkafanye biashara yenu vizuri, ila uwanja wa yanga umejaa maji mpaka magugu yameota juu yake
 
Manji kila siku anawatingisha tu.. Yanga wote wamekua kama mbulula
Sijakisoma bado!

Manji anawatingisha wakina nani? Mimi nilidhani anawatingosha MIKIA FC maana tangu jamaa ateuliwe Mara nyingine kuongoza Yanga, simba hawajawahi beba VPL....
 
Simba kwa sasa,wanahangaika na Haruna Hakizimana, maana nimemuona Alfajili ya Leo saa tisa Evance Aveva akifika Airport na Mda huohuo Haruna anashuka akitokea Rwanda na baada ya muda Haruna anapanda Gari ndogo na kuondoka na Aveva naye Anaondoka.Kama watafikia muafaka upo uwezekano mda si mrefu wakamtangaza rasmi.
 
Huyo keshasaini tangu juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…