Manji V/S orijino komedi!

Ni mapito tu mkuu......wengine tunasema mitihani ya Mwenyezi Mungu!!!!Hata CDM walimkana Rais leo wamegonga naye chai Ikulu, mkono mchafu haukatwi unaoshwa!!!!

Mwenyezi Mungu amuafu Vengu..amen!!!
 

Na huyo rais kwa nini hakumsaidia mzee Kipara na ameugua muda mrefu, kaomba msaada wee mpaka kajifia kwa umasikini wa kukosa huduma mzee wa watu. Kama ameweza kumpeleka Vengu India, kwa nini Mzee Upala ilishindikana kumsaidia? Siyo kama sijapenda alivyosaidiwa Vengu, ila rais ni wa wetu sote aoneshe upendo kwa wote, au kuna maslahi binafsi na Origino komedi.
 
Reactions: tz1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…