Manjis hospital

Manjis hospital

Berlin storm

Member
Joined
Feb 6, 2023
Posts
60
Reaction score
38
Hivyo ni badh ya vipimo nilivyo pima kama mwaka mmoja uliopita kwenye tatizo langu la muwasho sugu sehem za siri wataalam kalibun icho kichina apo ni jina nimelificha kwa kuweka icho kistika
 
Attachments

  • IMG_20230310_154417_1.jpg
    IMG_20230310_154417_1.jpg
    256.1 KB · Views: 6
Hakuna kitu hapo mkuu, Manjis c hapo nyuma ya Msuya Pharmacy Mwanza Town!?
 
Dah sas kak ko sina gonjwa la zinaa na nyie mnapatikana wapi kaka huenda ntapat huduma
Kwani unashida gani mkuu!??

Hao manjis tulikuwa tunafanya nao kazi tu kuna muda nilikuwa niko kituo kimoja hapo Mwanza town nikahama sasa niko mbali kidogo na Mwanza
 
Hivyo ni badh ya vipimo nilivyo pima kama mwaka mmoja uliopita kwenye tatizo langu la muwasho sugu sehem za siri wataalam kalibun icho kichina apo ni jina nimelificha kwa kuweka icho kistika
Labda ukajiribu kupima kwingine Ila hapo Imeandikwa uko Safi hauna tatizo kwa mujibu wa vipimo ni negative & NIL ingekua positive tungekwambia umenasa Anza kutumia dozi
 
Kwani unashida gani mkuu!??

Hao manjis tulikuwa tunafanya nao kazi tu kuna muda nilikuwa niko kituo kimoja hapo Mwanza town nikahama sasa niko mbali kidogo na Mwanza
Na muwasho sugu sehem za siri bro sijui ni fangasi huu mwaka wa Saba sasa naangaika daw namtumia kinabao Yani naogoapa kutembea juan jins navyo washwa na nikitembea kama kuna MTU ananichanachana korodani
 
Back
Top Bottom