Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suali naona limekuwa gumu sana ,tatizo watanganyika hawayajui mambo wao inakuwa kama magogo tu kabla ya majambozi kuna vitu.
Mzee lete ufundi hapa kidogo panaelekea pana kaujuzi na kuelimishana ndio moja ya mikakati ya JF ,tatizo hapa kuna watu wanajiona wanajua na utawaona wanazarau tunaouliza ,kumbe na wao hawajui kitu ila wanaziba pengo ,jamani kuuliza si ujinga .Watu wana roho za kolosho hapa ,hawataki wengine tupate elimu ,ivi lile somo la ngono nasikia siku hizi linataka kuanzishwa huko mashule au lishaanzishwa ? Yaani kama lipo nitaludia kusoma japo iwe wanatufundisha wakati wa jioni.mahanjumati kind of stuff....inabidi jamii yetu iboreshe jando (kwa karne hii)au hata kwa cd...watu wafundishwe maadili ...ama kuwe na bachelor party kijana akikaribia kuoa....maana ni balaa sasaaa....unaweza ukadhani wanajuaa kumbe wanachezacheza na kijana akawa anaibiwa maana hafiki pale mwenzake anapotarajia...