Mpaka sasa hivi wanaufanya ukubwa wangu uwe raha😅Wamefanya utoto wangu uwe wa Raha Sana hawa
Watoto nikikuta wameweka tom & jery sichukui limot kabisaWamefanya utoto wangu uwe wa Raha Sana hawa
Nakumbuka hili genge lilikuwa linaongozwa na hilo paka jeusi, linaitwa BUTCH!
Hii Episode jamaa alichanganya kemikali kwenye maziwa, Jerry akanywa akageuga The HULK.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2300513
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Fred Quimby huyo.....Jamaa alitisha Sana.
Mara ya mwisho kuzirudia ilikuwa ni mwaka 2009,Mpaka sasa hivi wanaufanya ukubwa wangu uwe raha😅