G
Shobo hizo utakuja kufanywa kama alivyofanywa huyu Manka. Shauri yako jifanye kiboro dinda tu. ππNi poa kabisa, nadhani leo baadae kama ikikupendeza siyo mbaya tukitoka tukale goodtime sehemu fulani tulivu baby mama π
Ckkcd hv0...Ccm wamekufanyaje mkuu kutakua kuna mkasa lazima,sio kila matukio yana uccm,mimi sio mwana ccm ila siwezi kusema kila jambo baya ni ccm,mnawapa mianya waharifu wengine kufanya uhalifu
Em na mm nione hy video, kuna kitu nataka kujifunza πNimeonaa picha yake hapo ndio nikakumbuka kakipande ka video yake ka dakik 2 mbili akiliwa jicho ,kumbee n marehemu jamn π€
Em hy video na mm nione kituAliyeliwa jicho sio huyu.
Ila wamefanana miili, ukavu na weupe
Sawa, naomba hy video ya huyo kokuKwenye ile video ni mdada mmoja alikuwa anajiuzaga Sinza Mori anaitwa Koku
Sio huyo
Polepole kabebwa majirani wanasikia mageti yanavunjwa..". ila walipojaribu kusogea mlangoni kwa Manka waliambiwa na wale watu kuwa watawabeba na wao hvo warudi ndani haraka.
Hvo wapangaji wale wakaingia ndani kimya na kufunga milango."
==> Na hii ndiyo ile Tanzania!