Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

Mambo ya kutumika hayo mwisho lazima uingie kumi na nane. Yako makundi mawili hayo na moja wapo likikufuata na kukuambia acha haya mambo unaharibu sana then ukajitia husikii na kujiona Kuna watu watanilinda basi itakuwa umekosea pakubwa sana, tatizo vijana wengi wanapenda "Soni mombo".
 
Huyo kuuliwa sawasawa ..yeye na paroko ni majambazi wote....hakuna kucheka na jambazi au gaidi....
 
Dodoma ukikamatwa na kosa la uhalifu mara kwa mara lazima upoteane mji unataka utulivu sio vibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…