Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

Wapangaji walienda ila hawakufanikiwa.
Wangefanyaje cha zaidi?
Kwanza unaenda kuisababishia pancha gari yao, unaenda na kisu unatoboa tairi zote

Pili mnaanza kuwapiga mawe

Kisha ndo mnapiga simu Polisi (kama kutakuwa na ulazima)

Yaani binafsi jirani akivamiwa na jambazi naanza kuusababishia Pancha usafiri wao, najua nikishasababisha Pancha tu basi watahangaika sana kupora gari
 
Kama mtu anasababisha vifo nae afe tu
 
Labda vibaka, hakuna jambazi anakuwa ndezi kiasi hicho.
Kuna tofauti ya kibaka na jambazi.
 
Duuu! Sasa huyo bwana wake nadhani Kwa maelezo yako yeye ndie chanzo.
 
YOTE KWA YOTE, TANZANIA INA VIONGOZI WAJINGA SANA NA WAPUUZI , WASOJALI UTU, WABINAFSI, WANAOTAZAMA MAISHA YAO NA FAMILIA ZAO.

UNADHAN MANKA ANGEKUA MDOGO AKE NA BASHUNGWA, INGEKUAJE???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…