Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

Acha stori za maigizo kwanza huna huo ujasiri, pili utakuja kufa kizembe kwa mambo yasiyokihusu.

Kwa mujibu wa taarifa hii, wahanga walikuwa watu wa matukio mbali mbali, bila shaka waliokuja kuwa "chukua" ni wataalamu wa "kazi"

Never stake your life on an either winning...!
 
Kwanini huu uzi wa kupotea na kutekwa unakuja leo?

Unataka kusema utekaji ni kulipiza kisasi?

Ndio inaweza kuwa. Tuishi vizuri na watu.
 
Hehehe we jamaa umenifanya nimecheka sana ,mtakuja kufa kishamba sana muache familia zenu zinateseka,
Sijakataa kutoa msaada ila huko ni kuji exposure kwenye risk hiv unajua group za raid kweli? Kama assault group yenyewe ina backup sembuse usafiri ambao mambo yaki haribika wata tumia ku escape!
 
Sheria zimewekwa ili zivunjwe, ndo maana na wao wamevunja sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…