Manka, jifunze kwa Mwajuma au Asha

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,515
Reaction score
9,415
Dear Manka,
Unaweza ukawa na sura nzuri, umbo zuri na kila kitu kizuri lakini Masele kachepuka...

Masele haangalii uzuri wako, anaangalia ni wapi atatimiziwa haja zake, ni wapi kiu yake itafikishwa kileleni..

Manka, usipobadilika, Masele hatabanduka kwa Aisha au Mwajuma..

Badilika Manka..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaah,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…