Manka Nimechoka Naomba Tuachane!?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Manka: Umechoka!? Oga, kula, Pumzika, lala Ukiamka Tunaendelea, Sina Muda wa kuanzisha Mahusiano mengine Usinichanganye kabisa chalaangu haikatai,

Na imeisha hiyo🤪🏃
 
Sasa umeshadadia nini..?
We nae ni wakula mboko tu unashangilia kitu hata hukijui nyie ndo mlikuwa hata darasani mnatuponza..😅
Kimbelembele changu kitaniponza.
 
Aisee umejuaje chief? Vipi unatumia K vant? Karibu, tumshushe🥃.

Let's meet at the top, cheers 🥂
Boss situmiagi maji machungu hayo mnayaweza nyie wenyewe😅
 
🤣🤣🤣🤣 Subiri sikukuu iishe
Tena unanipangia..!!
We hapo ulitakiwa ujibu tu "haya baba"
Sasa kwakuwa umekuwa mkaidi tuma namba yako na yarafiki wako wakike mzuri mzuri haraka..
 
Tena unanipangia..!!
We hapo ulitakiwa ujibu tu "haya baba"
Sasa kwakuwa umekuwa mkaidi tuma namba yako na yarafiki wako wakike mzuri mzuri haraka..
🤣🤣🤣 Unaota subiri hadi xmass
 
Manka: Umechoka!? Oga, kula, Pumzika, lala Ukiamka Tunaendelea, Sina Muda wa kuanzisha Mahusiano mengine Usinichanganye kabisa chalaangu haikatai,

Na imeisha hiyo

Umesahai emoj yako 🤪🤪 kwenye huu uzi

Kindly do the editing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…