ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Kiufupi ni kwamba muda huu saa 3 na 35 ya asubuhi hii kamchakaza tena bondia wa Korea Kusini ajulikanaye kama DK yoo kwa knockout round ya 6, katika pambano lililokuwa la round sita
Jamaa Mungu alimbariki kipaji na kwa kweli anakitumia vyema sana yaaani Manny Pacquiao ni urithi wa dunia kabisa katika nyanja ya boxing, imagine katika umri alio nao jamaa lakini bado anawachakaza mabondia vijana namna hii daah
Nimekaa nimeangalia pamoja na umri wake kumtupa mkono lakini bado mikono yake iko vyema sana hajapoteza stance wala stamina kiufupi jamaa anajua sana kupigana.