Manny Pacquiao kashindikana sasa, ana kipaji cha pekee kwenye boxing

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Kiufupi ni kwamba muda huu saa 3 na 35 ya asubuhi hii kamchakaza tena bondia wa Korea Kusini ajulikanaye kama DK yoo kwa knockout round ya 6, katika pambano lililokuwa la round sita

Jamaa Mungu alimbariki kipaji na kwa kweli anakitumia vyema sana yaaani Manny Pacquiao ni urithi wa dunia kabisa katika nyanja ya boxing, imagine katika umri alio nao jamaa lakini bado anawachakaza mabondia vijana namna hii daah

Nimekaa nimeangalia pamoja na umri wake kumtupa mkono lakini bado mikono yake iko vyema sana hajapoteza stance wala stamina kiufupi jamaa anajua sana kupigana.

 
Mwamba apewe tu heshima yake!!
 
Bingwa anajua sana asee
 
Kiufupi ni kwamba muda huu saa 3 na 35 ya asubuhi hii kamchakaza tena bondia wa Korea Kusini ajulikanaye kama DK yoo kwa knockout round ya 6...
Hivi huyu jamaa si bado ni Seneta huko kwao Ufilipino?
 
Hakuna ndondi hapo ,hizo ni burudani tu kama wanazocheza akina Mayweather siku hizi kwa kwenda japani na china kichagua watu ambao asili Yao sio ndondi na tena dhaifu ili kucheza nao na kikusanya mahela. Lengo la waandaaji ni kuwaona tu hao na sio kitu Cha kumfuatilia eti Kuna ndondi
 
Mapambano mengine sio, siku hizi boxing imekuwa usanii mtupu..
 
Kwamba uwezo wa pacouiao huujui ama unataka kusema je historia yake huijui pia duuuh kazi ipo asee
 
Dah huu muda nilikuwa na ITV watoto show.
 
Namkubali sana mwamba Pacman na yuko so religious, for all his messages hapakosi maudhui ya Mungu wetu sote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…