Manny Pacquiao kuvaa bukta yenye thamani ya £ 1.5 milioni

Manny Pacquiao kuvaa bukta yenye thamani ya £ 1.5 milioni

Khalidoun

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
2,835
Reaction score
4,464
Manny Pacquiao will don the most expensive shorts in history as he takes on Floyd Mayweather in their superfight on May 2.

Advertising space on the Filipino star's shorts has been sold off for an extraordinary £1.5 million, according to reports in Pacquiao's homeland.

Six different companies have already bought advertising space on Pacquiao's shorts.

It is just the latest extraordinary number to emerge from the fight of the century so far, with the two biggest names in the sport going head-to-head in Las Vegas after almost a decade of avoiding each other in the ring.

The two fighters' camps are said to be earning a combined £200 million from the bout next month, with Pacquiao personally guaranteed £50m and Mayweather £80m.

The excess stretches even to Mayweather's mouthguard, a bizarre, see-through creation that will be stuffed with real $100 bills and said to be worth nearly £20,000.

OUR VIEW

On this latest evidence, Mayweather appears to have missed a trick. Surely he could have sold off the advertising space in his mouth, so that every time he smiled for the cameras he'd also be putting a smile on the face of his bank manager?

£ 1.5 M ni TZS 4.2 B
 
Ujue vitu vingine mi nashindwa kuelewa, yaani bukta ya thamani ya tsh 4.2 bn ina nini cha ziada au cha ajabu hadi iwe na thamani kubwa kiasi hicho? Naomba kueleweshwa tafadhali, what makes that short to worth that much?
 
Sehemu ya kutangaza kwenye hiyo bukta ndo imenunuliwa na makampuni kwa ajili ya kujitangaza kwa hiyo gharama na sio kwamba hiyo bukta ina hiyo thamani.
Ni mambo ya biashara tu mkuu kama vile unavyoona kwenye gazeti wanakwambia nafasi hii inauzwa ndo kilichofanyika kwenye hiyo bukta kuna sehemu kampuni inaweza weka jina/bidhaa yake kama kwenye jezi za mpira wa miguu.
 
....avae tu lakini bado atatandikwa na siku hiyo akija kichwa kichwa ili amalize pambano haraka basi KO itamhusu sana tu.
 
huu sasa uthenge,bukta 4.2 bilion ?,hapo ni sawa na toyota land cruiser V8 ngapi? samahani lakin wenye V8 zenu
 
....avae tu lakini bado atatandikwa na siku hiyo akija kichwa kichwa ili amalize pambano haraka basi KO itamhusu sana tu.

Maywether K.O inamuhusu yeye, akikatiza bila kuwa k.o'd Mungu atakuwa upande wake, Yeye amezoea vipointi pointi. Kama Maywether atashinda ni kwa point ila sura yake itkuwa kama nyama ya bifu.
 
Sehemu ya kutangaza kwenye hiyo bukta ndo imenunuliwa na makampuni kwa ajili ya kujitangaza kwa hiyo gharama na sio kwamba hiyo bukta ina hiyo thamani.
Ni mambo ya biashara tu mkuu kama vile unavyoona kwenye gazeti wanakwambia nafasi hii inauzwa ndo kilichofanyika kwenye hiyo bukta kuna sehemu kampuni inaweza weka jina/bidhaa yake kama kwenye jezi za mpira wa miguu.

Kumbuka zile sehemu ambazo zitakiwa visible muda mwingi wakati wa pambano yaani kwenye mapaja kwa nje na sehemu za matakoni.
Bukta 1.jpgView attachment 246627
Bukta 4.jpg
 
Maywether K.O inamuhusu yeye, akikatiza bila kuwa k.o'd Mungu atakuwa upande wake, Yeye amezoea vipointi pointi. Kama Maywether atashinda ni kwa point ila sura yake itkuwa kama nyama ya bifu.

Kwa ngumi gani, za Pacq? Maymoney ni mnyama mwingine wewe, mtu anayeweza kupigana na mkono ukiwa umevunjika kwa round kadhaa na mpinzni asijue siyo wa kawaida!
 
Back
Top Bottom