Fstborn JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 507 Reaction score 527 Jul 2, 2017 #21 jac salum said: Naaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu Click to expand... Ah...bora ukae kmya ndg yaonesha ww c mtu wa ndondi hao ulowataja na Joshua wp na wp?
jac salum said: Naaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu Click to expand... Ah...bora ukae kmya ndg yaonesha ww c mtu wa ndondi hao ulowataja na Joshua wp na wp?
Fstborn JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 507 Reaction score 527 Jul 2, 2017 #22 ivan don said: Inaonesha hujui chochote kuhusu masumbwi mkuu Click to expand... Mm pia nimemshangaa!
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Jul 3, 2017 #23 jac salum said: Naaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu Click to expand... Uzito tofauti so hawawezi kutana
jac salum said: Naaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu Click to expand... Uzito tofauti so hawawezi kutana
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Jul 3, 2017 #24 Boko haram said: PACQUIAO KWISHA HABARI YAKE Click to expand... Hapana mkuu bado kidogo amtoe kwa knockout huyo mzungu basi tu sijui nni kilitokea ila mechi ilibidi iishe round ya 9
Boko haram said: PACQUIAO KWISHA HABARI YAKE Click to expand... Hapana mkuu bado kidogo amtoe kwa knockout huyo mzungu basi tu sijui nni kilitokea ila mechi ilibidi iishe round ya 9