Manny pacquiao vs juan marquez

Nategemea ushindi kwa Pac Man hili ushawishi wa kukutana na Mayweather uongezeke.
 
Manny pacquiao lazima ashinde hili pambano.
 
dah... Link imegoma halafu niko njiapanda
 
nadhani kuna geographic limitation
 
Sasa mpambano unaanza karibuni.

Kwanza wanatoa heshima kwa Joe Frazier.
 
nawaonea wivu aisee

Huna. Link za zamani za ngumi ?

Mie huwezi kuamini, laptop yangu ime-delete my favourite list yote. Nilikuwa na web nyingi tu zingekutoa mkuu.

Hapa ngoma inaanza sasa hivi wote wako jukwaani.
 
Round ya kwanza imeisha hapa, naona. Marquez haogopi kulusha ngumi .simchemzo
 
Mkuu MTM unakosa bonge la pambano.

Mie mshabiki wa Manny lakini napenda challenge anayotoa huyu Marquez, inachangamsha pambano sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…