Manowari Tanzania!

kidole cha simba

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2022
Posts
1,994
Reaction score
2,510
Kuna mdau huku kauliza kama Tanzania tuna submarine[nyambizi], napenda kumjulisha kwamba tunazo za kutosha, pale ziwa victoria tuna sangara, sato, mba na dagaa wa kutosha, ukienda bahari ya hindi kuna tassi, pweza na wengineo kibao, kwenye mito kuna kambale, vyura n.k.....kazi kwako....tupo vizuri kiulinzi!!!!!!!!!!!
 
Duuh hii Kali.!!
 
Manyowariiiii. Tuna fisiemu inajua kupiga mbizi kweri kweri. Tuko on right truck.
 
Aisee!🤔
 
Hakika ni kweli kabisa... kolekole, changu na wengine wamejaa huko baharini
 
Ongeza na pweza kwenye orodha.....
 
Fanya ibada labda utapona🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…