Uchaguzi 2020 Mantiki ipi ya kuruhusu mgombea urais abaki na hadhi ya urais

Uchaguzi 2020 Mantiki ipi ya kuruhusu mgombea urais abaki na hadhi ya urais

Naminipo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
812
Reaction score
1,028
Ni swali fikirishi. Nafasi zote za chini ya urais, watu hujiuzuru kisha kugombea mfano madiwani na wabunge.

Ina maana hakuna namna yoyoye hapa duniani Rais anaye gombea asivuliwe kwanza hadhi yake ili agombee sawa na wenzake?

Hatuoni kama ni maigizo tu.
 
Ndo katiba yetu hiyo mkuu!
Ukiskia ccm hawataki kuskia neno "KATIBA MPYA" hiyo ndiyo maana yake.
 
Hivi nchi nyingine duniani huko inakuwaje nchi inapokuwa kwenye kampeni za urais? Kwamba muda huo nchi inakuwa haina rais?
 
una akili na mawazo mazuri lakini huu si wakati muafaka bahati mbaya watekelezaji wa sheria zilizipo si watunga sheria na wale ambao sheria hii inawasumbua hawajawahi sikika wakihoji hili muda huu pambaneni na kampeni haya mengine huu sio muda wake
 
Back
Top Bottom