Uwawekee waTZ hawa 100 kila mwezi unajua kelele watazopiga huku wakisapotiwa na hao wanaojiita "wapinzani"? Hiki ulichoeleza kinatekelezeka kwenye nchi zenye raia na viongozi wanaojielewa...
Watachanganya na private investors- yaani PPP- public Private Partnerships, dunia hii ya nini kugangamara na mamiradi yanayotegema mikopo yenye masharti ya kuinamishwa kila corner?
Nitamchukiaje wakati anapewa ukweli wake kwamba alitungiza chaka la mikopo na sasa ameondoka tutafanywa mandondocha muda si punde ili halki yeye ni usingizi tu bila kuamka...