Hicho ndo kidole cha heshima na kistaarabu kuliko vyote.
1.Gumba...Kazi ya saini, nguzo ya masumbwi na hakina mvuto.
2.First born...Kidole cha ugomvi, uchonganishi na uchochezi. Ushasikia kumnyooshea mtu kidole, ndo kazi yake.
3.Dole Mama au la Kati...Alama ya uchafu.
4.Second born au dole jike...Kidole cha heshima, hakina kazi za ajabu ajabu.
5.Last born.....Kifupi, hakina mvuto.
Nb; ni uzoefu wangu tu na kuhusu wasio na vidole nadhani si lazima kuvishwa pete maana ndoa ni agano na kiapo baina ya watu wawili mbele za Mungu, Miungu nk. Pete ni tashititi na alama ya kumbukumbu kibinadamu.