evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Habari wakuu,
Watani poleni sana na matokeo ya Jkt najua mnaumizwa na zile dk 7 za nyongeza kutoka kwa mwamuzi,mmesahau hata nyie mechi ya lipuli mlipewa hizozo 7. Mkuki kwake porin ukija mjini unekosea njia.Now tunawapumulia kisogoni.
Niende moja kwa moja kwenye mada
Club ya yanga imekuwa na majina mengi hususan kipindi hiki kigumu wanachopitia, moja ya majina hayo ni tasaf fc, lakini nikija kwa maana ya TASAF (Tanzania Social Action Fund) ulioasisiwa miaka ya mwanzon mwa 2000, ambaponi mfuko wa kunusuru kaya masikini, one among of its objectives is to enable poor house hold to increase incomes and opportunities in various aspects,ambapo tasaf ndio hutoa hizo pesa ili kunusuru hizo kaya masikini.
Hivyo kwa maana hiyo hapo juu TASAF ndio hutoa fedha ili kunusuru kaya masikini ,sasa yanga kuitwa tasaf INA maana club ya yanga hutoa pesa kuchangia kitu Gan wakati yenyewe inahitaji msaada, tungeiita yenyewe kaya masikini halafu wachangiaji ndo wawe tasaf,Hapo ingekuwa sawa naona kama kuna mkanganyiko Fulani.
I'm standing to be corrected
Nawasilisha