Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini katiba inataka mawaziri wote wanaoteuliwa kuwa mawaziri wawe wabunge?
Kama lengo lilikuwa ni kwa sababu wabunge wameaminiwa na wananchi wapiga kura mbona kuna viti 10 vya ubunge ambavyo Rais anaweza kuteua wabunge na kisha akawatea kama mawaziri? Zaidi sana mawaziri wateuliwa wala hawatijiki kuthibitishwa na bunge?!